Professor Bili ni bingwa wa kupiga hesabu zake huku akiwatumia watu mbalimbali katika michezo yake michafu. Mpambe wake Thomas, moja ya wanafunzi wake vipanga
S7 | E235
24 Februari 11:00
'S7/E235'. Mambo yanabadilika kila mtu anachuma alichokipanda, Dev na Tima wanarudisha mahusiano yao huku hatma ya wengi...