Logo
jiya, slim billboard,
channel logo dark

Jiya

160DramaPG13
jiya, cta banner, full episode

Episode 5: Kipindi cha tano cha Jiya – Jiya

Video
24 Julai

Harakati za harusi zaendelea wakati kijijini kuna moto.

Maisha Magic Bongo yakuletea vipindi kamili vya #MMBJiya

News
06 Julai 2024
Jiunge nasi kila Jumatatu ndani ya tovuti ya #MaishaMagicBongo
Jiya

Tumekuletea zawadi nzuri sana Julai hii ndani ya Maisha Magic Bongo. Tunajua watazamaji wetu alipenda sana tamthila ya Jiya. Katika Jiya, tunapata kufuatilia maisha ya familia iliyoundwa na tamaduni tofauti tatu, ambapo tofauti zao ndizo zinazowafanya kila mmoja kuwa wa kipekee. Mapenzi yanaposhinda hata mipaka ya tamaduni, rangi, na imani, huo ndio wakati inathibitisha tena kwamba upendo unashinda yote. Jiya, mwanamke Mhindu anayetaka kuolewa kwa lazima, anaamini kuwa amependa kijana mweusi Don G, lakini hatima ina mipango mingine wakati anapokutana na kijana Masaai Senteu na mambo yanageuka kabisa.

Angalia kipindi cha kwanza cha Jiya

Usikose vipindi vipya kila Jumatatu saa 1:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo.