Mapambano yanafika kileleni kati ya vijana wa Kizulu na wa Majoola .
Katika makabiliano haya makali, tunashuhudia vijana wa Majoola wakipigwa risasi — na wengi wao kupoteza maisha
Ni mwisho wa enzi yao… huku huzuni, kilio na maswali mazito yakibaki nyuma.
The Wife inaendelea kutukumbusha kuwa maisha ya vurugu hubeba machungu na gharama kubwa zisizofutika…