Ray amshikia Abby bastola, Roy azidi kuwatia hofu β Huba I S14 I Ep 42β44 I Maisha Magic BongoKatika mlolongo wa matukio ya kushtua, Roy anaanza kuwa kitendawili β tabia zake zinawatatiza Tima na Chidy, wakijiuliza kama wanamjua tena. Wasiwasi wao unaongezeka huku Roy akizidi kujitenga na kuwa na mienendo ya ajabu.
Wakati huo huo, Ray anavuka mstari β anamteka Abby na kumshikia bastola, akimtaka aseme ukweli wote. Je, Abby atavumilia presha hiyo? Na Royβ¦ je, kuna jambo kubwa analoficha?