Kitimtim
160
Vichekesho
13 L
Main
Video
Habari
"Bwana wangu kamipenda hivi hivi"– Kitimtim
Video
03 Novemba
Pili na Da Zuu watukanwa na mama Pili kwa jinsi walivyo vaa. Hili jambo lilimfanya Zuu ajipendezekeshe kwa Masantula na Masantula hakukubali.
Jisajili kuangalia
Up Next
Zunde na Pili warudiana – Kitimtim
12 Oktoba
Masantula ataka kumvisha pete Da Zuu – Kitimtim
05 Oktoba
Jini karudi – Kitimtim
15 Septemba
Zunde bado hajarudi – Kitimtim
07 Septemba
Gini – Kitimtim
17 Agosti
Msauzi amuachia Zunde funguo za nyumba – Kitimtim
03 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
Nafasi ya Pili yajaziwa – Kitimtim
Masantula na Da Zuu wagundua kwamba Pili alikuwa akituma pesa nyingi nyumbani kwa mama yake. Mama Pili amwambia Zunde kwamba yupo tayari kuchukua nafasi ya Pili.
Video
Pili arudi kwa Zunde – Kitimtim
Zunde agundua kwamba pili yupo kwa Msauzi na sasa anataka kununua bastola. Hili jambo la mpa Pili wasiwasi. Hatimaye Masantula agundua Pili alipo na amwomba Pili pesa ili anyamanze. Harafu Pili arudi nyumbani na akutana na mama yake.
Video
Nani kaiba pesa? – Kitimtim
Pesa zimepotea na kila mtu anamlaumu Pili. Da Zuu aenda kumlilia Masantula akidani kwamba Pili ameiba na hatimaye waenda kwa mganga wakienyeji kugundua.
Video
Ndoa ya saba – Kitimtim
Masantula, Zuu na Zunde washerelekea ndoa ya Zunde. Mama Pili awaaomba Zunde, Masantula na Zuu wasalimiane. Hatimaye mama aamua kufunga ndoa ya saba kwa Ba Juma.