Familia ya Makanza inaingia mbele ya wanahabari na kutangaza donge nono la milioni 60
Lengo ni moja tu — kumpata Fiona, haijalishi kwa gharama gani.
Kauli zao zinaacha nchi nzima midomo wazi, huku matumaini na presha vikiongezeka kwa familia
Je, donge hili nono litaleta majibu… au litazidisha sintofahamu?