channel logo dark
kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Samabaza jina

Uchungu wa mapenzi – Kapuni

00:04:43
Robert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.John amegoma kazi.
Uchungu wa mapenzi – Kapuni Image : 1068

Vipindi Zaidi

Tamthilia Zetu on Maisha Magic Bongo

Frank amfungukia Profesa kuhusu Anna na Davis – Juakali I S8 I Ep 179–181 I Maisha Magic Bongo Image : 2413
Rose na Mishy wakatizana hadharani – The Mommy Club I S1 I Ep 4 I Maisha Magic Image : 2411
Rose na Mishy wakatizana hadharani – The Mommy Club I S1 I Ep 4 I Maisha MagicHali ya presha imevuka mipaka katika The Mommy Club! Rose na Mishy wanashushiana maneno ya moto katika ugomvi wa hadharani, huku kila mmoja akijaribu kudhibiti hali na kuonesha hisia zake. Migongano hii ya wazi inaibua maswali makubwa kuhusu urafiki, heshima na nafasi ya kila mmoja ndani ya kundi la mama. Je, ugomvi huu utaishia wapi? Au ni mwanzo wa mfululizo wa migongano itakayoshika moto ndani ya klabu ya mama? Tazama HL ya The Mommy Club S1 Ep 4 kushuhudia kila tukio lenye shauku, msukumo na drama ya kweli.
Shaka anamjeruhi mwenzie – Shaka Ilembe I S1 I Ep 7–8 I Maisha Magic Bongo Image : 2412
Shaka anamjeruhi mwenzie – Shaka Ilembe I S1 I Ep 7–8 I Maisha Magic BongoHali ya hasira na presha inazidi kuongezeka! Shaka anajikuta akimjeruhi mwenzie, tukio linalochochea mvutano mkubwa na kubadilisha mwelekeo wa matukio Elengani. Hatua hii inaibua maswali makubwa kuhusu uongozi, nguvu na hatima ya wahusika. Je, tatizo hili litashughulikiwa ama litazidisha mvutano kati ya wahusika? Tazama HL ya Shaka Ilembe S1 Ep 7–8 kushuhudia drama ya kweli ya historia na migogoro isiyotarajiwa.
Rita akamatwa katikati ya vurugu za kifamilia – Huba I S14 I Ep 138–140 I Maisha Magic Image : 2414
Rita akamatwa katikati ya vurugu za kifamilia – Huba I S14 I Ep 138–140 I Maisha MagicNdani ya nyumba moja, presha zimefika kileleni Rita anajikuta akibanwa na hali nzito inayozidi kuchafua utulivu wa familia. Siri zinaanza kufichuka, migongano ya wazi inazidi kuongezeka, na kila hatua anayochukua Rita inaonekana kumpeleka kwenye mtego mpya. Kadri mvutano unavyozidi, maswali mazito yanaibuka — Rita ataweza kusimama imara katikati ya mgogoro huu au atavunjika chini ya uzito wa kinachoendelea nyumbani? Huba inaendelea kutoa drama ya ukweli, bila kupunguza mwendo.
Mama Dee amchezeshea Halima kichapo – Upepo I S1 I Ep 27 I Maisha Magic Image : 2410
Mama Dee amchezeshea Halima kichapo – Upepo I S1 I Ep 27 I Maisha MagicMazungumzo yaligeuka uwanja wa mapambano  Mama Dee alimfuata Halima kwa nia ya kujadiliana namna ya kumsaidia Baba Dee atoke jela. Badala ya majibu ya heshima, Halima alimjibu kwa dharau kubwa, kauli zilizochokoza zikageuza mazungumzo kuwa hasira kali. Ndani ya muda mfupi, Mama Dee hakuvumilia tena — akaamua kumchezeshea Halima kichapo cha somo! Je, huu ni mwisho wa mvutano wao au mwanzo wa vita vipya? Upepo unazidi kuvuma kwa kasi.
Davis amvaa Thomas vikali kwa ajili ya Anna – Juakali I S8 I Ep 187 I Maisha Magic Bongo Image : 2408
Davis amvaa Thomas vikali kwa ajili ya Anna – Juakali I S8 I Ep 187 I Maisha Magic BongoHali inakuwa tete pale Davis anapomkabili Thomas uso kwa uso baada ya madai ya kumdharau na kumzungumzia vibaya Anna. Kwa hasira na msimamo mkali, Davis anamwonya Thomas asithubutu tena kumkosa heshima Anna kwa maneno au vitendo. Onyo hili linaweka mstari wazi na kuibua mvutano mpya, huku mahusiano kati ya wahusika yakianza kuchukua mkondo wa hatari. Je, Thomas atasikia onyo la Davis au atalazimisha mambo kuwa mabaya zaidi?
Ginna aendelea kumkazia Enzo bila kuchoka – Juakali I S8 I Ep 185–187 I Maisha Magic Bongo Image : 2407
Ginna aendelea kumkazia Enzo bila kuchoka – Juakali I S8 I Ep 185–187 I Maisha Magic BongoKatika Juakali, Ginna bado hajakata tamaa. Licha ya changamoto na vikwazo vinavyozidi kujitokeza, anaendelea kumkazia Enzo kwa msimamo na hisia kali, akiamini kuwa mapenzi yao yanaweza kushinda yote. Kadri siku zinavyosonga, presha inaongezeka na maamuzi ya Ginna yanaanza kuibua maswali makubwa. Je, kumkazia Enzo ni ishara ya mapenzi ya kweli au ni mwanzo wa maumivu mapya?
Nandi afukuzwa akiwa na mtoto wake, Shaka arudi kwao – Shaka Ilembe I S1 I Ep5–6I Maisha Magic Bongo Image : 2406
Nandi afukuzwa akiwa na mtoto wake, Shaka arudi kwao – Shaka Ilembe I S1 I Ep5–6I Maisha Magic BongoMaumivu na mateso yanamkumba Nandi pale anapofukuzwa akiwa na mtoto wake Shaka, bila huruma wala pa kukimbilia. Safari yao ya mateso inawalazimu kurejea kwao, wakiwa wamejaa hofu, uchungu na maswali yasiyo na majibu. Kufukuzwa huku kunakuwa mwanzo wa maisha magumu kwa Shaka, lakini pia ndiko kunakoanza kuunda nguvu, uthubutu na hatima yake ya baadaye. Je, mateso haya ndiyo yatakayomjenga Shaka kuwa kile atakachokuja kuwa?
JB akumbuka yaliyopita na kufungua moyo mbele ya binti yake –HubaIS14IEp135–137I Maisha Magic Bongo Image : 2404
JB akumbuka yaliyopita na kufungua moyo mbele ya binti yake –HubaIS14IEp135–137I Maisha Magic BongoKatika wakati wa kutafakari kwa kina, JB anarudi nyuma kwenye kumbukumbu nzito za maisha yake, akibeba majuto, maswali na maamuzi ambayo yameacha alama kwa familia yake. Kumbukumbu hizo zinampeleka kwenye mazungumzo ya moyoni na binti yake pamoja na Ray, ambapo hisia zinaongea zaidi kuliko maneno. Mazungumzo haya yanafungua ukurasa mpya wa uelewano, msamaha na matumaini ya kurekebisha yaliyovunjika. Lakini je, kukumbuka yaliyopita kunatosha kubadili hatima ya sasa? Au maumivu yataendelea kufuata familia hii?
Bi Barke amtuma Sada kumwekea Munir dawa ya siri – Jivu I S1 I Ep 81–82 I Maisha Magic Bongo Image : 2403
Bi Barke amtuma Sada kumwekea Munir dawa ya siri – Jivu I S1 I Ep 81–82 I Maisha Magic BongoSiri nzito yazidi kufichuka pale Bi Barke anapompa Sada maagizo ya kumwekea Munir dawa ya asili. Mazungumzo yao yanaacha maswali mengi — je, nia ni kumsaidia Munir au kuna jambo kubwa linafichwa nyuma ya pazia? Kadri mpango unavyoanza kuchukua sura, Sada anakabiliwa na uamuzi mgumu unaoweza kubadilisha hatima ya Munir na familia nzima. Imani, hofu na mila zinagongana katika tukio hili lenye mvutano mkubwa.
Umempa mimba binti yetu? Kijana akana vikali – Shaka Ilembe I S1 I Ep 3–4 I Maisha Magic Bongo Image : 2398
Umempa mimba binti yetu? Kijana akana vikali – Shaka Ilembe I S1 I Ep 3–4 I Maisha Magic BongoMvutano mkubwa wazuka pale familia inapomkabili kijana kwa tuhuma nzito za kumpa ujauzito binti yao. Kwa hasira na msisitizo, swali zito linatupwa moja kwa moja: “Umempa mimba binti yetu?” Hata hivyo, kijana anasimama kidete na kukana vikali, akisisitiza kuwa hana hatia na hajahusika na ujauzito huo.Kadri majibizano yanavyoendelea, hisia zinazidi kupanda na lawama zinachukua nafasi ya ukweli. Tukio hili linafungua ukurasa mpya wa migogoro ya kifamilia, hofu na aibu, huku kila upande ukijaribu kujinusuru. Je, ukweli utawekwa wazi au siri nzito itaendelea kufichwa?Tazama HL ya Shaka Ilembe S1 Ep 3–4 uone jinsi tukio hili linavyoanza kubadilisha hatima za wahusika.
Enzo akasirishwa na simu ya Maya – Juakali I S8 I Ep 168–171 I Maisha Magic Bongo Image : 2396
Enzo akasirishwa na simu ya Maya – Juakali I S8 I Ep 168–171 I Maisha Magic BongoMpango uliopangwa kwa ujanja unaanza kuvunjika. Maya anampigia Enzo simu bila kutarajiwa, jambo linalomkasirisha na kuzua taharuki kubwa. Walikubaliana kuigiza kama wapo kwenye mahusiano ya uongo ili kumzuga Patrick, asigundue kuwa mkewe Regina yuko kwenye uhusiano wa siri na Enzo.Lakini kadri muda unavyosonga, mipango inachanganyikiwa. Hisia za kweli zinaanza kuibuka kati ya Maya na Enzo, zikivunja mipaka ya makubaliano yao. Wakati huo huo, uhusiano wa Regina na Enzo unaendelea kuwa tishio kubwa. Je, ukweli ukifichuka, nani ataumia zaidi?
Tajiri na Nicole wazama kwenye mgogoro mzito – Huba I S14 I Ep 132–135 I Maisha Magic Bongo Image : 2397
Tajiri na Nicole wazama kwenye mgogoro mzito – Huba I S14 I Ep 132–135 I Maisha Magic BongoMambo yanazidi kuwa mazito ndani ya Huba huku uhusiano wa Tajiri na Nicole ukitingishwa na migongano, mashaka na maamuzi yanayoumiza. Kila hatua wanayochukua inaibua maswali mapya — je, mapenzi yao yana nguvu ya kustahimili presha hii, au ukweli unaokuja utavunja kila kitu?Wakati hisia zikizidi kupanda, pande zinazowazunguka zinaanza kuathiri hatima yao, na kufanya hali kuwa ngumu zaidi kuliko walivyotarajia. Hatima ya Tajiri na Nicole bado ni kitendawili.
Riyama amchapa kibao mumewe kwa tuhuma za Merry – The Mommy Club Tanzania IS1IEp2IMaisha Magic Bongo Image : 2395
Riyama amchapa kibao mumewe kwa tuhuma za Merry – The Mommy Club Tanzania IS1IEp2IMaisha Magic BongoTukio lililowashangaza wengi limeibuka katika The Mommy Club Tanzania baada ya Riyama kumchapa kibao mume wake kufuatia madai ya kuwasiliana na Merry. Hasira zinachukua nafasi ya mazungumzo, na tukio hili linageuka mjadala mkubwa kuhusu mipaka ya heshima, maumivu ya kihisia na changamoto ndani ya ndoa.Mitandaoni, maoni yanakinzana — wengine wakimtetea Riyama wakisema alisukumwa na uchungu, huku wengine wakikemea kitendo hicho wakisisitiza kuwa vurugu si suluhisho. Je, hili ni tukio la hasira za muda au mwanzo wa mgogoro mkubwa zaidi?
Mtoto wa Tima Alishwa Sumu – Huba Image : 2383
Mtoto wa Tima Alishwa Sumu – HubaMtoto wa Tima amekumbwa na hatari baada ya kuonwa na alishwa sumu . Shaka na hofu zinaibuka pale ambapo inawezekana aliyefanya kitendo hiki ni Ritha . Huba inaendelea kutufundisha kuwa kila kitendo kina matokeo makubwa — na hatuwezi kamwe kudhani kuwa hatari haiwezi kutokea nyumbani mwetu wenyewe…
Nitakuzalia Watoto Nane – Upepo Image : 2382
Nitakuzalia Watoto Nane – UpepoMke wa Sudi ana ndoto ya kumzalia watoto nane … na zaidi! Lakini Sudi anaonekana kama hafurahii kabisa, hadithi hii haimpendi . Upepo unaendelea kutufundisha kuwa kila uamuzi wa familia na ndoto za kizazi huleta changamoto — kila hatua inaweza kuibua hofu, hasira na majibu yasiyotarajiwa
Fiona Ametekwa, Polisi Waendeleza Uchunguzi – Upepo Image : 2377
Fiona Ametekwa, Polisi Waendeleza Uchunguzi – UpepoFiona, binti mpendwa, ametekwa . Polisi wanachukua hatua haraka na kuendeleza uchunguzi kumtafutia . Wakati uchunguzi unapoendelea, kila kiashiria kinazua hofu na wasiwasi — je, Fiona atapatikana salama? Upepo unaendelea kutufundisha kuwa matokeo ya kitendo kimoja yanaweza kubeba maumivu makubwa, na ukweli hauwezi kufichwa milele…
Mwisho wa Vijana wa Majoola – The Wife Image : 2378
Mwisho wa Vijana wa Majoola – The WifeMapambano yanafika kileleni kati ya vijana wa Kizulu na wa Majoola . Katika makabiliano haya makali, tunashuhudia vijana wa Majoola wakipigwa risasi — na wengi wao kupoteza maisha Ni mwisho wa enzi yao… huku huzuni, kilio na maswali mazito yakibaki nyuma. The Wife inaendelea kutukumbusha kuwa maisha ya vurugu hubeba machungu na gharama kubwa zisizofutika…
Mchawi Akamatwa – Mpali Image : 2379
Mchawi Akamatwa – MpaliShida za kifedha zinamkaba Tombi, na anaanza kupanga na rafiki yake namna ya kupata pesa zaidi . Lakini wakati mipango yao ikiendelea, mambo yanachukua sura mpya upande wa kina Hambe… Tunaona wake wengine wakikusanyika, huku Shupiwe akisimulia kwa kujivunia jinsi alivyomkabili na “kummaliza” mchawi kwa kutumia maji ya upako. Simulizi hilo linatikisa kila mtu — mashaka na hofu vikianza kutanda juu ya kile kilichotokea kweli. Mpali inaendelea kutuonyesha kuwa tamaa, imani na hofu zikichanganyika — matokeo yake huwa mazito kuliko tunavyodhani…
Mpungwe Akamatwa na Polisi – JIVU Image : 2376
Mpungwe Akamatwa na Polisi – JIVUMpungwe anaangukia pabaya baada ya polisi kufika nyumbani kwake na kumkamata . Ni Fahad anayeongozana nao — akiamini huu ndio wakati wa Mpungwe kujibu maswali yake yote. Lakini mambo yanabadilika ghafla pale anapokutana uso kwa uso na Sikujua… na maneno ya kejeli yanarushwa bila huruma. Mvutano unazidi kupanda — huku hofu ikitanda juu ya hatma ya Mpungwe. JIVU linaendelea kutuonyesha kuwa kila siri ina mwisho — na wakati haki inapogonga hodi, hakuna wa kuizuia…
Kibibi Akasirishwa na Roy Kulewa Kazini – Huba Image : 2380
Kibibi Akasirishwa na Roy Kulewa Kazini – HubaKibibi na Roy wanaanza ukurasa mpya kwa kufanya kazi pamoja kwenye club . Lakini mambo hayaendi kama alivyotarajia, kwani Roy anaonekana kulewa kazini—jambo linalomkasirisha sana Kibibi. Katika hasira na maumivu, Kibibi anamwambia wazi kuwa hana msaada wowote… na penzi lao linaanza kuyumba . Wakati huo huo, tunamuona Tajiri akimshauri Ritha kwa busara: ugomvi haujengi, ni muhimu kutafuta njia za hekima kupata suluhu . Lakini je, ushauri huo utasikilizwa? Au moto wa migogoro utaendelea kuwaka
Makanza Watangaza Donge Nono – Upepo Image : 2367
Makanza Watangaza Donge Nono – UpepoFamilia ya Makanza inaingia mbele ya wanahabari na kutangaza donge nono la milioni 60 Lengo ni moja tu — kumpata Fiona, haijalishi kwa gharama gani. Kauli zao zinaacha nchi nzima midomo wazi, huku matumaini na presha vikiongezeka kwa familia Je, donge hili nono litaleta majibu… au litazidisha sintofahamu?
Chela Amtaka Hambe Warudi Nyumbani – Mpali Image : 2370
Chela Amtaka Hambe Warudi Nyumbani – MpaliChela anamfuata Hambe kazini akiwa na hofu kubwa . Anamsihi warudi nyumbani haraka kwani kuna hatari ya wao kukamatwa na polisi . Chela anaogopa kubaki nyumbani peke yake, huku presha ikizidi kila dakika. Je, Hambe atasikiliza onyo hili au wataingia kwenye matatizo makubwa zaidi?
Zandile Amuua Baba Yake – The Wife Image : 2363
Zandile Amuua Baba Yake – The WifeHasira inafika kilele pale Zandile anapokasirishwa kupita kiasi na baba yake. Katika tukio la kushtua, Zandile anachukua uamuzi mzito unaobadili maisha yake kabisa — anamuua baba yake mwenyewe. Wakati huo huo, wanamajola wanazidi kukaza ulinzi kwa vijana wa Kizulu, hali inayozidisha hofu na taharuki katika familia na jamii nzima.