channel logo dark
channel logo dark

Upepo

160TamthiliaPG13

Mama Dee amchezeshea Halima kichapo – Upepo I S1 I Ep 27 I Maisha Magic

Video07 Februari

Mazungumzo yaligeuka uwanja wa mapambano  Mama Dee alimfuata Halima kwa nia ya kujadiliana namna ya kumsaidia Baba Dee atoke jela. Badala ya majibu ya heshima, Halima alimjibu kwa dharau kubwa, kauli zilizochokoza zikageuza mazungumzo kuwa hasira kali. Ndani ya muda mfupi, Mama Dee hakuvumilia tena — akaamua kumchezeshea Halima kichapo cha somo! Je, huu ni mwisho wa mvutano wao au mwanzo wa vita vipya? Upepo unazidi kuvuma kwa kasi.