channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Frank amfungukia Profesa kuhusu Anna na Davis – Juakali I S8 I Ep 179–181 I Maisha Magic Bongo

Video10 Februari

Siri zimeanza kufichuka! , Frank anamfungulia Profesa ukweli kuhusu uhusiano wa Anna na Davis, jambo linaloweza kubadilisha kila kitu ndani ya nyumba yao. Mvutano na hisia zinazokinzana zinazidi kupamba moto, huku kila uamuzi ukionekana kuleta athari zisizotarajiwa. Je, Profesa atachukua hatua ipi? Au habari hii italeta migogoro mipya? Tazama HL ya Juakali S8 Ep 179–181 kushuhudia kila tukio lenye shauku na msukumo.