Hali ya hasira na presha inazidi kuongezeka!
Shaka anajikuta akimjeruhi mwenzie, tukio linalochochea mvutano mkubwa na kubadilisha mwelekeo wa matukio Elengani. Hatua hii inaibua maswali makubwa kuhusu uongozi, nguvu na hatima ya wahusika.
Je, tatizo hili litashughulikiwa ama litazidisha mvutano kati ya wahusika? Tazama HL ya Shaka Ilembe S1 Ep 7–8 kushuhudia drama ya kweli ya historia na migogoro isiyotarajiwa.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ