Mbona Umekuja Bila Taarifa – RoyRay amekutana na mpenzi wake nyumbani, lakini ujio wake haukuwa rasmi .
Mzozo unaibuka kati ya Demu na Kibibi , huku Roy akimsihi mpenzi wake aondoke
Je, hali hii itaishia vipi? Mapenzi, hofu na mzozo vinaendelea kuungana…
#huba #shorts #Roy #Ray #Kibibi #Demu #hubadrama #maishamagicbongo #tamthiliatanzania #mzozo