Anna ana penzi jipya!– Jua KaliDiba afika ofisini kumona Anna wakati Thomas afika ofisini kwa Frank. Mke wa Idi bado anataka mume wake arudi. Mama Thomas agundua uchawi nyumbani kwake, na Vivian anahofu kwamba ametambuliwa. Siri ya Auntie zai yajulikana na Felix akutana na Maria.