Pazia
160
Tamthilia
16
MAIN
VIDEO
HABARI
Hali ya Edu ya zidi kuwa mbaya – Pazia
Video
05 Mei
Hali ya Edu yazidi kuwa Maya na apoteza kuongea na kuona. Fred amtimua Henry akidai kwamba sio Juma Mdudu na Eliza amfukuza Mdoe. Latifa afukuzwa nyumbani na Glory apanga mpango wa kumuweka Henry.
Stream on Showmax
Up Next
Mkata vidole – Kitimtim
03 Mei
Femi apata mgeni – Jua Kali
30 Aprili
Devi yupo katikati ya Kibibi na Tesa–Huba
28 Aprili
“Nguvu inatumika vitani na sio kwenye Huba” – Huba
21 Aprili
Linda afika Tanzania – Jua Kali
16 Aprili
Devi aanzisha vita tena kwa Kibibi– Huba
08 Aprili
Maudhui Yanayohusiana
Video
Zawadi afungwa – Mwali
Hali ya Chifu Kandamsile yazidi kuwa mbaya wakati Zawadi bado amefungwa.
Video
Matukio matano makubwa ndani ya finale ya msimu wa sita wa #MMBPazia
Angalia yote ulikosa ndani ya finale wa msimu wa sita wa kipindi cha Pazia.
Video
Rukia amfuatilia Mishi – Chanda
Rukia amfuatilia Mishi na Mishi ataka kujua kwanini. Yaz ana wasiwasi na hali ya Azra. Rukia atata kumuokoa Shem
Video
Henry adai nyumba yake – Pazia
Miriam Makeba anamaswali menu kwa baba yake na Henry agomba na Miriam juu ya nyumba yake. Rehema nae adai kurudi kwa baba fake.