Huba
160
Drama
16
Main
Video
Habari
Devi yupo katikati ya Kibibi na Tesa–Huba
Video
28 Aprili
Kibibi aamua kuwapa Tima na Jude kazi ndani ya hoteli yake. Devi ijikuta kati ya ugomvi wa Kibibi na Tesa na Nelly agundua kwamba wazazi wake wamerudiana. Fabrizio amkamata Monica mbele ya Kibibi.
Stream on Showmax
Up Next
“Nguvu inatumika vitani na sio kwenye Huba” – Huba
21 Aprili
Linda afika Tanzania – Jua Kali
16 Aprili
Devi aanzisha vita tena kwa Kibibi– Huba
08 Aprili
JB akamatwa – Huba
02 Aprili
Yakubu akutana na JB– Huba
24 Machi
Regina ndiyo MD mpya wa kampuni – Pazia
08 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
Hali ya Tesa vipi? – Huba
Sada ampa Tima barua ya Tishi toka shuleni. Jude atakamjulia Tesa hali.
Video
Ofa yatolewa! - Huba
Kibibi hataki kuongea dili zake mbele ya Chidi. Jude amshukuru Doris.
Video
Huba la Monica na Fabrizio – Huba
Monica aanza mahusiano na Fabrizio. Tesa amuonya Kibibi juu ya kumfuatilia Devi.
Video
Abby amvisha pete Nelly– Huba
Kibibi aonwa Zanzibar wakati Tesa bado ana gombana na Roy juu ya dini. Na Abby amvisha pete Nelly.