Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Femi apata mgeni – Jua Kali
Video
30 Aprili
Linda amwambia Duke kama Bobo bado anampenda Anna. Toby ampiga dada take baada ya Sophia kugomba kumuoa Iddy. Zai amwambia Bill amuheshimu kama mama yake na Bill aishia kumpiga na hatimaye Stela arudi. Na Femi opata mgeni.
Stream on Showmax
Up Next
Devi yupo katikati ya Kibibi na Tesa–Huba
28 Aprili
“Nguvu inatumika vitani na sio kwenye Huba” – Huba
21 Aprili
Linda afika Tanzania – Jua Kali
16 Aprili
Devi aanzisha vita tena kwa Kibibi– Huba
08 Aprili
JB akamatwa – Huba
02 Aprili
Yakubu akutana na JB– Huba
24 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
Femi apata mgeni hospitali– Jua Kali
Femi apata mgeni toka Kenya wakati yupo hospitali. Anna aishia kumuonya mama yake
Video
Maria apata maombi - Jua Kali
Maria aja kanisani kuomba wamuombee wakati mama Lukas amfokea Femi na Prof amwambia Anna kwamba Regina atarudi ofisini.
Video
Femi apata matibabu – Jua Kali
Vivian amwambia Maria amuhurumie Thomas wakati Femi na Lukas wanenda kupata matibabu.
Video
Michael ataka kumuoa Vivian - Jua Kali
Femi amkasirikia Tony juu ya kuvuruga maisha yake, Michael asema kwamba atamuoa Vivian.