Pazia
160
Tamthilia
16
MAIN
VIDEO
HABARI
Angalia
Femi kabananishwa! – Jua Kali
Mke wa Kiza akimbizwa hospital - Upepo
Video
Nani amekunywa pombe zangu - Huba
Tajiri akasirishwa na Mussa kuwapa kina JB pombe zake wanywe, kitendo kimempa hasira sana.
Video
Nguzo mikomoni mwa Kiza - Upepo
Upepo bado unaendelea kuvuma wakati upelelezi ukiendelea juu ya wapi alipo fiona, na Kiza sasa anamkamata Nguzo ili apate kumsaidia kwenye kesi.
Video
Umekuja ofisini kwangu kufanyaje? - Jacobs Daughter
Caroline akasirishwa na kitendo cha bwana wake kumfata kazini kumpongeza kwa kupandishwa cheo.
Video
Vita ya Tajiri na JB - Huba
Tajiri na JB watunishiana misuli kwenye meza ya chakula, unadhani nani ataibuka kidedea kwenye vita hii?
Video
Namtaka mwanangu - Upepo
Sara amechoshwa na hana furaha tena na maisha ya kifahari bila ya binti yake Fiona ambaye ametekwa na mpaka sasa hajapatikana.
Video
Rushwa ya ngono - Jacobs Daughters
Tulimpeleka Candy hospital ndo maana amechelewa kwenye interview, au ulitaka akupe rushwa ya ngono kama huyo. Usijali sisi tunaweza kukupa dabo dabo.
Yajayo
Leo
Kesho
Jumatatu
Jumatano
Alhamisi
Ijumaa