Kapuni
160
Drama
PG13
Main
video
habari
gallery
Jackie Amefariki- Kapuni
Video
06 Julai
Kwenye #KAPUNITZkila Jackie amefariki, Maombolezi yanaendelea , Rachel hataki kumuona Brown anataka amzike mwanawe pekee, , Brown ataka msiba ukuwe kwake, Je msiba utakuwa wapi? Usikose #KAPUNITZkila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku!
Jisajili kuangalia
Up Next
Bibi harusi anameremeta – Huba
05 Julai
Chibu anayo sherehe-Huba
28 Juni
Msanii Alice Kibopile — Kapuni
28 Juni
Msanii Mwambie Falcon — Kapuni
28 Juni
Visa na Vituko - Huba
21 Juni
Majozi ya furaha – Rebeca
20 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
Ukwell kuhusu Naira na Frank wajulikana – Jua Kali
Dira ajifanya Kama amefariki na hilo jambo lamshitua na kumkasirisha Anna. Waakati Vivian anawaza ni nini kinamtesa Da Amina na mke wake na Prof Bill awaambia Auntie Zai na mume wake kuhusu mahusiano ya Naira na Frank.
Video
Angel atekwa – Danga
Pipi ampigia simu Mark kujua habari za Bariani harafu agundua kwamba Bariani amefariki. Harafu Mo na Pipi bado wanamtafuta Angel. Angel aombwa billioni tatu juu ya deni lake.
Video
Masantula amefariki – Kitimtim
Zunde hajue afanye nini kuhusu maiti ya Masantula na amawambia Da Zuu. Baada ya kupata habaru hiyo, Masantula awatokea Pili na Da Zuu.
Video
Manka anampango! – Yalaiti
Tanasha apewa faraja na marafiki zake kwamba awe mvumilivu na atapata mume. Tika hataki kukaa kwenye sherehe ya Remmy. Remmy afumwa na mke wake akiwa anaongea na Stella na Manka apanga marafiki zake wamlete Stella kwake.