Logo
kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Kapuni imepamba moto

News
02 Novemba 2019
Screenshot 2019-11-07 at 11.08.20

Yaliojiri kwenye tamthilia yetu pendwa ya Kapuni.

  • Rachel anapoteza Imani ya kupona , Paul , Julie  na Jordan mambo hayaeleweki.
  • Ofisini mambo ni moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki!  Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.
  • Brown anamtisha Robert achane na Rachel na akae mbali na familia yake. Je Robert atazingatia hayo? Brown anajuta makosa yake na kumuomba John msamaha.
  • Robert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.John amegoma kazi.

Tulipowauliza mashabiki wa Kapuni , ni nani ataandika  caption pambe kuliko zote na atapata shout out ya kizazi kabisa .......basi haya ni baadhi ya hayo maelezo .