Logo
kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Samabaza jina

Uchungu wa mapenzi – Kapuni

00:04:43
Robert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.John amegoma kazi.
Uchungu wa mapenzi – Kapuni Image : 1068

Vipindi Zaidi

Tamthilia Zetu on Maisha Magic Bongo

Nelly arudi nyumbani – Huba Image : 1940
Kampuni ya filisika – Dosari Image : 1938
Kampuni ya filisika – DosariQueen ataka kujua muongozo wa kampuni na Bwana Shamta.
Ndoa ya Anna na Diba - Jua Kali Image : 1939
Ndoa ya Anna na Diba - Jua KaliThomas aja kwa Maria kumuuliza anachotaka baada ya kugundua ukweli. Diba na Anna wafunga ndoa
Naomi agundua siri za Adrian - Nuru Image : 1937
Naomi agundua siri za Adrian - NuruNaomi agundua kwamba Ronald ndiye mrithi wa mali za baba yake baada ya Mzee Andrew kugundua kwamba siye mtoto wake na Ritha aachana na John.
Tupate hela! – Kitimtim Image : 1936
Tupate hela! – KitimtimPili na mama yake watafuta mbinu ya kupata hela kutoka kwa Zunde
Eva na Bill wapata majibu ya vipimo- Jua Kali Image : 1934
Eva na Bill wapata majibu ya vipimo- Jua KaliTony amuomba Maria arudi nae Kenya na Bill na Eva wapata majibu ya vipimo
Nani muuaji? – Dosari Image : 1932
Nani muuaji? – DosariMalik agundua ukweli kuhusu mama yake na Zuri ataka kujua kuhusu hali ya baba yake.
Mapenzi yananitesa! Nuru Image : 1933
Mapenzi yananitesa! NuruBaada ya Alice kumuacha, John arudi kwa bibi yake na Doreen amwambia Adrian kwamba ana mimba yake na Mzee Andrew ataka kujua Ronald yupo wapi.
Utavuna ulivyopanda! - Huba Image : 1935
Utavuna ulivyopanda! - HubaTima apigana tena Happy baada ya kumuita muuaji. Tesa amwambia Fabrizio asimfuatilia.
Davis amtaka Maria- Jua Kali Image : 1930
Davis amtaka Maria- Jua KaliDavis aanza ukaribu na Maria mbele ya wafanyakazi wenzaka na Frank aishia kumtambulisha Maria rasmi.
Queen agombana na Nuru – Dosari Image : 1926
Queen agombana na Nuru – DosariQueen apigana na Nuru, mke wa kwanza wa Amari.
Ronald akataa kumuomba Mzee Andrew msamaha – Nuru Image : 1929
Ronald akataa kumuomba Mzee Andrew msamaha – NuruRitha mabwambia Ronald amuombe msamaha Mr Andrew lakini akataa, na John aja kumfuata Alice.
Tima akataa msahada- Huba Image : 1931
Tima akataa msahada- HubaHappy na Sidi wataka Tima awe na maani baada ya Devi kurudi.
Niue! – Jiya Image : 1927
Niue! – JiyaWanakijiji wataka kumuua Jiya na Senteu adai mwili wa mama yake.
Vita ya Pili – Kitimtim Image : 1925
Vita ya Pili – KitimtimPili avuruga kila itu na kufunga mama yake agombane na watu wote, na akutana na Subi na Zunde
Chidi aonywa – Huba Image : 1924
Chidi aonywa – HubaKibibi amuonya Chidi vikali kuhusu Tesa nae Roy afuatilia kesi ya Devi ajali ya Devi
Unanitaka kwenye maisha yako?' – Jua Kali Image : 1923
Unanitaka kwenye maisha yako?' – Jua KaliBill na Eva wanabishana wakati anamsihi amwambie ukweli kama anamtaka katika maisha yake.
'Usitumalizie hasira zako' – Dosari Image : 1921
'Usitumalizie hasira zako' – DosariRubi anajaribu kumtetea binti yake dhidi ya hasira ya baba yake baada ya yeye kujaribu kuelekeza hasira yake kwake.
'Usiniletee ushenzi'– Nuru Image : 1922
'Usiniletee ushenzi'– NuruNaomi anapigana na Rita baada ya kumshutumu kwa kudharau jinsi baba yao anavyowasaidia.
Je Jiya ataweza kuzungumzaa kimaasai?– Jiya Image : 1920
Je Jiya ataweza kuzungumzaa kimaasai?– JiyaLebo na Neema wajaribu kumfundisha Jiya mila na desturi na mila za kimaasai.
Mwizi wa simu – Kitimtim Image : 1918
Mwizi wa simu – KitimtimZuu agundua simu aliyozawadiwa ni ya wizi.
Msaliti yupo kati yenu! – Dosari Image : 1911
Msaliti yupo kati yenu! – DosariBi Fatima ataka kujua nani ni msaliti kati ya wasichana wake, Kiki ajiingiza kwenye mtego na dada yake.
Nitawanyoosha! – Nuru Image : 1913
Nitawanyoosha! – NuruMama mganga awaonya majirani, Andrew amuokota Ronald na Ritha aomba mawazo kwa wazee.
Devi arudi- Huba Image : 1912
Devi arudi- HubaDevi aja kwa mshituko kwa watu, na Kibibi amuweka sawa Tesa.
Nelly arudi nyumbani – Huba