Logo
Kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Samabaza jina

Rachel aomba talaka- Kapuni

00:03:52
Kama ulipitwa na #Kapuni wiki hii , usitie shaka mambo yalikua hivi, Robert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Rachel aomba Brown talaka, Bown anajuta makosa yake, mtaani vituko kwenda mbele.
Rachel aomba talaka- Kapuni Image : 1078

Vipindi Zaidi

Vituko na kasheshe – Kapuni Image : 1091
Jordan uso kwa uso na Paul – Kapuni Image : 1082
Jordan uso kwa uso na Paul – KapuniDulla kaletewa baba, Juma anatumia usuperstar wake vilivyo, Robert na Rachel wanashinda majaribu . Leo mambo ni balaa Giggy anahakikisha anampa confidance zote Alice, Jordan uso kwa uso na Paul .
Rachel aomba talaka- Kapuni Image : 1078
Rachel aomba talaka- KapuniKama ulipitwa na #Kapuni wiki hii , usitie shaka mambo yalikua hivi, Robert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Rachel aomba Brown talaka, Bown anajuta makosa yake, mtaani vituko kwenda mbele.
Rachel atoka hospitali – Kapuni Image : 1072
Rachel atoka hospitali – KapuniWiki hii kwenye #Kapuni, Dora , Koku wapatana kwa Jordan , Majozi ofisini ambapo Paul aondoka, Robert ampeleka rechel nyumbani , Nixon anayo maneno mazito kwa Brown, Rachel ataka talakaJe ni nini kitajiri wiki injayo ? kaa hapo hapo na tukutane kila Jumatatu-Jumatano
Uchungu wa mapenzi – Kapuni Image : 1068
Uchungu wa mapenzi – KapuniRobert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.John amegoma kazi.
Robert Vs Brown- Kapuni Image : 1065
Robert Vs Brown- KapuniWiki hii kwenye #Kapuni , Patrick kapata ujasiri kumtembelea Koku, Robert afika hospitalini na kumpa Rebeca tumaini. Brown amemtuma Prisca kwa Robert, Je anapanga nini? Oficini hakueleweki, Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.
Brown amtisha Robert – Kapuni Image : 1060
Brown amtisha Robert – KapuniKwenye Kapuni wikii hii, Brown anam Tisha Robert achane na Rachel na akae mbali na familia yake . Je Robert atazingatia hayo? Brown anajuta makossa yake na kumuomba John msamaha. Usikose kuwa nasi kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila Jumapili saa 7 mchana kupitia DStv160 pekee
Rachel apoteza Imani - Kapuni Image : 1056
Rachel apoteza Imani - KapuniRachel anapoteza Imani ya kupona , Paul , Julie na Jordan mambo hayaeleweki, Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.
Rachel bado hospitalini – Kapuni Image : 1051
Rachel bado hospitalini – Kapuni#KAPUNI wiki hii, Rachel bado hospitalini, hataki kumuona Brown karibu naye, Ngingimani na Oscar wanataka nini kwa Alice? Brown na Robert wapatana uso kwa uso hospitalini. Usikubali kupitwa kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku
Vilio wodini- kapuni Image : 1047
Vilio wodini- kapuniVilio vinatawala wodini kwa Recho, Brown anashauriwa kukaa mbali na Recho anaomba msaada kwa Lisa amsaidie kuwa karibu na Recho,Alice kalewa chakari Gigi kadata,Oscar nae anamtamani Lisa,
Uchungu wa Rachel – Kapuni Image : 1043
Uchungu wa Rachel – KapuniKwenye Kapuni kweli imepamba moto! Koku na Max hawaeleweki! Rachel hataki kumuona Brown , Nixon amkimbia babake, Je nini kitaendelea? Usikose Kapunitz KILA Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku
Joyce hajifahamu- Kapuni Image : 1033
Joyce hajifahamu- KapuniWikii hii kwenye Kapuni mambo yalipamba moto. Baada ya mazishi na aibu za Brown, Joyce hajifahamu, alazwa hospitalini, Robert anayo huba wapatana uso kwa uso na Brown hospitalini. Kama ulikosa hujachelewa, #KAPUNITZ kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku usikose !
Vurugu kwenye Mazishi-Kapuni Image : 1030
Vurugu kwenye Mazishi-KapuniJe ulitazama #kapuni wiki hii? Hali ni vituko na visanga, kama ulipitwa yaliojiri ndio haya, Koku apata kipigo cha mwaka, Brown bado hapatikani, Liwalo na liwe Robert anaamua kufika kwenye mazishi, Brown anawasiri -atisha kufukua kaburi, nani atamtetea? usikose #kapuni kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku.
Brown hapatikani-Kapuni Image : 1021
Brown hapatikani-KapuniWiki hii Kwenye #KAPUNITZ, Hatimaye tunamzika Jackie , lakini yaliojiri hatukuyategemea, Brown kapotea yupo kwa Joyce, Reacho na familia huzuni unatanad, Matilda yeye yake umbea tu, Anangisye anamkana Bube , Brown ana amka anajikuta kwa Joyce je kitakacho endelea ni nini? Tukutane tena wiki ijayo kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku usikose !……
Brown hapatikani – Kapuni Image : 1018
Brown hapatikani – KapuniKatika #Kapuni wikii hii siku ya Mazisha imefika , lakini Brown ameenda mpenyoni, aweza kuwa wapi? Kama ulikosa hujachelewa, #KAPUNITZ kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku usikose!
Brown aomba Rachel msamaha- kapuni Image : 1012
Brown aomba Rachel msamaha- kapuniWiki hii Kwenye #Kapuni, siku ya mazishi imewaadia, Marudiano ya Brown na Rachel ,yastaabisha Nixon , Je ataichukua aje? Naye Robert atakubalishwa kwenye mazishi? Brown uso kwa uso na John kuomba msamaha. #KAPUNITZ kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku usikose !
Aibu kwenye msiba- Kapuni Image : 1000
Aibu kwenye msiba- KapuniKwenye Kapuni wikii hii, msiba haueleweki! Joyce vs Koku, Nixon achukia baba na uncle, msiba bado mbichi lakini Brown aibu, haeleweki, hata amechosha marafiki. usikose kuwa nasi kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila Jumapili saa 7 mchana kupitia DStv160 pekee
Maisha ni Safari Image : 995
Maisha ni SafariMaisha ni safari ndefu yenye mambo mengi, katika kapuni tunajionea haya yote, Nickson anatuliza, Dora anatoa somo la mapenzi koku na Joyce hatimaye wameonana... usikose haya kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku kupitia DStv160 pekee!
Taratibu za msiba- Kapuni Image : 990
Taratibu za msiba- KapuniWiki iliyoipita kwenye #KAPUNITZ , Msibani hali si hali Recho ameshikilia msimamo wake kuhusu kumzika mtoto, Koku hatimaye karudi nyumbani , ndugu zake hata hawashtushwi, fumanizi limenusurika kati ya Joyce, Jordan na Koku, Robert nae kaonywa, je ni nini kitaendela usikose kuwa nasi kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila Jumpili saa 7 mchana kupitia DStv160 pekee
Brown na Mchungaji- Kapuni Image : 988
Brown na Mchungaji- KapuniKwenye Huba Brown kaitiwa Mchungaji, je atamsikiliza? Robert kapata yaya mwenye mitego ya hatari, Joyce hasira za Jordan anamtolea mwajuma, Jordan anakbana na dharau ya mwaka ofisini ,Je Koku ana haki ya kuonewa huruma? usikose kila Jumapili saa 3 Usiku kupitia DStv160 pekee!
Kifo cha Koku- Kapuni Image : 984
Kifo cha Koku- Kapuni#Kapuni, Juliet kavunja ukimya, Recho simanzi zinazidi, Jeff kamuita Max kuja kushuhudia kifo cha Koku, Max kapiga goti kumuombea Koku msamaha na Robert ameamua kuondoka kukaa mbali kabisa na familia ya Brown, Je Koku atabadilika? #KAPUNITZ kila Jumamosi na JUmapili saa 3 Usiku USIKOSE! https://bit.ly/2LuF5Fs
Maumivu makubwa - Kapuni Image : 970
Maumivu makubwa - KapuniMambo ni motot kwa #Kapuni Patrick na Koku mchumba wa babake Jeff. Jeff ameaumua kuwapa somo hawatasahau.na bado mzozano pahali msiba utakuwa, Je hali itakuwaje?
Jackie Amefariki- Kapuni Image : 969
Jackie Amefariki- KapuniKwenye #KAPUNITZkila Jackie amefariki, Maombolezi yanaendelea , Rachel hataki kumuona Brown anataka amzike mwanawe pekee, , Brown ataka msiba ukuwe kwake, Je msiba utakuwa wapi? Usikose #KAPUNITZkila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku!
Msanii Alice Kibopile — Kapuni Image : 944
Msanii Alice Kibopile — KapuniAlice anaongea kuhusu mwanzo wake katika tamthilia ya Kapuni, wasanii anaowapenda katika tamthilia hio na nyimbo alizotunga. TAZAMA
Vituko na kasheshe – Kapuni

Vipindi Zaidi