Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Michael amwagiwa maji – Jua Kali
Video
29 Januari
Michael avurugana na mke wake, na mke wake ishia kumumwagia maji. George arudi kumuomba msamaha Anna. Felix akasirika kwasababu anaulizwa maua yako wapi.
Stream on Showmax
Up Next
Kichuna afika na vurugu zake – Huba
29 Januari
Regina na Tunu wabeba ujauzito – Pazia
27 Januari
Kenzo amsumbua Vivian ofisini – Jua Kali
22 Januari
Jude anakuwa mkorofi kwa Kibibi – Huba
22 Januari
Gloria anamtaka Jemo – Pazia
20 Januari
Dr Desire ahamia kwa Madam Veronica – Karma
17 Januari
Maudhui Yanayohusiana
Video
Jua Kali yapokea tuzo tatu ndani ya Magic Vibe Award - Maisha Magic Bongo
Tamthilia ya Jua Kali ya zoa tuzo tatu; Best East African TV Series, Best East African TV Actor (Isarito Mwakalindile) na Film Director of the Year (Leah Mwendamseke Lamata).
Video
“Wewe ni baba wa King” – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Thomas amwambia Maria avunje mahusiano yake na Frank.
Video
Siri za tobolewa! – Jua Kali
Naira aendelea na ukaribu na Bwana Kaka wakati akita wake na Prof Bill amwambia mkewe arudishe mahusiano na Mr Michael. Femi atom unwell juu ya ugonjwa wake.
Video
Mama ni mama! – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Eddy apati mshituko.