Logo
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Regina na Tunu wabeba ujauzito – Pazia

Video
27 Januari

Edu aenda nyumbani kwa Regina na na baba yake Regina ataka kumpeleka polisi. Regina amabwambia Edu kwamba ana mimba yake na amlazimisha kumuoa. Dr Love afika kwa Fred na Edu yuko huko na Edu amkumbuka. Pia Tunu ana ujauzito lakini mume wake akataa mimba.