Main
Dr Desire ahamia kwa Madam Veronica – Karma
Video
17 Januari
Nama na Khizzer waendelea kupigana wakati De Desire ahamia kwa Madam Veronica. Na Misa achua huo wakati kumuweka sawa Dr Desire na kuonyesha kwamba yeye ndio mama wa nyumba. Kivu agimbania mume wake, na pia Misa akataa kupimwa utrasound.
Jisajili kuangalia
Up Next
Moto umeingia – Jua Kali
15 Januari
Kibibi anataka Miraj aondoke – Huba
15 Januari
Regina akosa fahamu – Pazia
13 Januari
Tima akutana na mchepuko wa baba yake – Huba
08 Januari
Karibu! – Jua Kali
07 Januari
Nani mkubwa? – Karma
07 Januari
Maudhui Yanayohusiana
Video
Anita amuomba msamaha Thomas – Jua Kali
Anita aomba msamaha kwa Thomas na Maria. Femi ajikuta kwa Dr Evans baada ya mahusiano yake na Lukas kuisha na Naira karudi.
Video
Wake wenza– Jua Kali
Tuma arid kwa bibi yake, Madam Simba aweka masharti nyumbani kwa wafanyakazi. Sophia aandelea kuvumilia uke wenza. Diba amsubiri Anna iliapate majibu na Luka aweka mipaka nyumbani.
Video
Eva aomba msamaha kwa Bill – Jua Kali
Sophia adaiwa pesa wakati kuhusu Eva aendelea kumuomba Bill msamaha.
Video
“Kama kudanga umedanga kwa wengi” – Dhohar
Dhohar amuonya mama Zahra juu ya mwanae.