Tamthilia hii inahusu mapenzi, pesa, tamaa na uchawi. Dunia mbili tofauti zinapokutana moja kudhibitiwa na fedha na nyengine ikifunikwa na uchoyo, mapenzi yanatoa matumaini ya kuishi.
S14 | E135
26 Januari 21:00
'S14/E135'. Jitihada za Tima kuthibitisha akili yake zinazidi kugonga mwamba huku hila za Rita zikimchosha. Mambo yanage...