Hii tamthilia inahusu mapenzi, pesa, ubinafsi na uchawi. Pale ulimwengu wa pesa ukikutana na ulimwengu wa ubinafsi, kitu ambacho kinaweza kuwaokoa ni mapenzi.
S13 | E180
14 Decemba 16:00
'S13/E180'. Kibibi anazidi kushika usukani,huku akisahau maisha yanaweza kubadilika muda wowote, kila mtu hatma zao hazi...