Mtoto wa Tima amekumbwa na hatari baada ya kuonwa na alishwa sumu .
Shaka na hofu zinaibuka pale ambapo inawezekana aliyefanya kitendo hiki ni Ritha .
Huba inaendelea kutufundisha kuwa kila kitendo kina matokeo makubwa — na hatuwezi kamwe kudhani kuwa hatari haiwezi kutokea nyumbani mwetu wenyewe…