maisha magic bongo logo

Wizi Nyumbani kwa Nguzu – Mpali

Video06 Decemba

Wizi umeibuka! Pesa za Mai Guru zimeibiwa nyumbani, na lawama zinatupwa kwa kijana aliyeletwa na Lindiwe shambani. Je, kweli ni yeye au kuna siri kubwa zaidi nyuma ya tukio hili? Fuatilia drama, usaliti na mshikamano ndani ya #Mpali leo!