channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Sada Amuwekea Munir Dawa – JIVU

Video29 Novemba

Michezo ya kishirikina inaendelea kwenye JIVU! Sada anamwekea Munir dawa na kumvuta hadi chumbani kwake… lakini je, hatua hii itaongeza moto kwenye drama, au itaibua siri kubwa zaidi? Usikose kufuatilia jinsi tamaa, usaliti na uchawi vinavyoitikisa familia hii!