Tajiri anakutana na JB, Nelly na Ray kwenye kikao kizito cha kupanga mazishi ya Abby — kila uamuzi unakuja na uzito wake, na msimamo wa kila mmoja unaongeza mvutano mezani.
Wakati mambo yanazidi kuwa magumu upande huo, nyumbani kwa Ritha kunazuka mshangao mpya pale Tima anapoingia jikoni na kuanza kupika.