channel logo dark
channel logo dark

Upepo

160TamthiliaPG13

Mabinti waliotekwa wapelekwa porini – Upepo

Video18 Novemba

Porini, watekaji wanazidi kuimarisha ulinzi wakiwashikilia wasichana waliotekwa. Wakati huo huo, maisha ya Sudi yanachukua mwelekeo mpya—amepata mke aliyetumwa na wazazi wake kutoka kijijini, lakini macho na mienendo yake vinaonyesha hana hata chembe ya mapenzi