channel logo dark
channel logo dark

Wa Milele

160Reality16

Joan Afunguka Kuhusu Maumivu ya Ndoa Yake na Aaron – Wa Milele

Video16 Novemba

Joan anazidi kuvunjika moyo anasema mwanamume aliyemuoa si yule anayemchukulia leo—amekuwa mtu wa kumumiza, kufuata marafiki wengi, na kumpuuza kama mke. Zaidi ya yote, Joan anahisi historia yake ya maisha, aliyoishiriki kwa upendo na uaminifu, sasa imekuwa kama fimbo ya kumchapia Je, upendo wao unaweza kurekebishwa? Au majeraha haya ni makubwa kuliko maneno?