Munir anamtembelea Balui chumbani kwake baada ya kurudi nyumbani kutoka hospitalini, akitaka kuhakikisha anapata nguvu na utulivu baada ya yote yaliyotokea Wakiwa kwenye mazungumzo ya faragha, Balui anafunguka kuhusu majuto yake na anamwomba Munir amsaidie kumuomba Karen msamaha