channel logo dark
channel logo dark

Upepo

160TamthiliaPG13

Jaribio la Kutoroka Labuma! – Upepo

Video28 Novemba

Mabinti waliotekwa wanajaribu kutafuta uhuru wao kwa nguvu zote… lakini jaribio lao la kutoroka linagundulika! Wanafungwa tena na kupewa adhabu kali inayowaacha na hofu mpya. Je, wataweza kuendelea kupambana hadi waokoke?