Michezo ya kishirikina inaendelea kwenye JIVU!
Sada anamwekea Munir dawa na kumvuta hadi chumbani kwake… lakini je, hatua hii itaongeza moto kwenye drama, au itaibua siri kubwa zaidi? Usikose kufuatilia jinsi tamaa, usaliti na uchawi vinavyoitikisa familia hii!