maisha magic bongo logo

Nkosana Apiga Goti Kwa Babu – The Wife

Video24 Novemba

Nkosana anaenda na Zandile pamoja na ndugu zake kumuomba msamaha babu yake Zandile. Lakini mambo yanakuwa mazito pale babu anapotaka Nkosana apige goti mbele ya wote. Zandile na ndugu zake wanamzuia — lakini Nkosana bado anainama tu. Cha kushangaza zaidi? Baada ya kupiga magoti… babu ana anza kumcheka . Drama ya The Wife haiishi — kila hatua ni mchezo wa heshima, nguvu na maamuzi magumu.