Ngoba na Mke wa Kamishna Wavunja Kasino – The WifeNgoba anaingia kwenye mchezo hatari! Akiwa na mke wa Kamishna (na pia mpenzi wake wa siri), wanapanga na kutekeleza wizi wa pesa kwenye kasino bila wasiwasi. Wakati huo huo, mambo yanazidi kuwaka nyumbani — Mqhele anapigana na kaka yake Khosa, Nkosana anaingia kwenye majukumu mapya kama mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa teksi, na Hlomu anakutana na aliyekuwa mpenzi wake. Je, hii ni mwanzo wa vurugu kubwa zaidi kwenye familia hii? Usikose The Wife ndani ya Maisha Magic Bongo!
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ