Main
Chama avishwa pete – Karma
Video
28 Oktoba
Baba yake Lorenzo amvisha pete Chama. Kivu na mama yake wapigana tena baada ya kufumwa akivuta sigara na adai mtoto wake. Desire arudi nyumbani kumtembelea mama yake.
Jisajili kuangalia
Up Next
Tima amerudi! – Huba
23 Oktoba
Mami yuko wapi? – Slay Queen
23 Oktoba
Lorenzo hana adabu – Karma
22 Oktoba
Derrick atekwa! – Slay Queen
16 Oktoba
Godfrey amwambia Nandy kama hamtaki tena – Karma
14 Oktoba
Shani rudi nyumbani – Nyavu
09 Oktoba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Mwanamke mfilisi – Mizani ya Ushambenga
Dr Kumbuka , Malkia wa huba na Blandina , wanatupa vionjo vipya na mada za kusisimua zinazohusu maisha.
Video
Gloria avishwa pete – Pazia
Fred yuko kituo cha police kuwaonyesha mapolisi ni nani alimpiga risasi Edu. Wakati Gloria amwambia Jemo kwamba Edu bado yuko hai na yupo na Regina. Henry na Mariam waja kumtembelea Regina na Edu nyumbani na washangazwa na maisha yao yakifahari. Gloria amwambia mama yake kwamba Jemo alimvalisha pete.
Video
Naira akata nywele!– Jua Kali
Naira aamua kukata nywele juu ya huzuni, wakati Miriam ana wasiwasi na Thas baada ya kuvikwa pete. Auntie Zai ataka kujua ni kwa nini Naira alikata nywele na Prof Bill afufunua kwamba Naira ni mwanae.
Habari
Title: anna avishwa pete! – Jua Kali
Baada ya kupata bahati mbaya kwenye mapenzi hatimaye Anna avishwa pete.