Logo
Yalaiti HDtv 1920x1080

Tima amerudi! – Huba

Video
23 Oktoba

Roy na Doris wafika nyumbani kukutana na mgeni wa ghafla. Chausi afukuzwa kwa Yakobo na Kibibi atekwa wakati Mijari anatakumuua baba yake. Tima akutana na Linda.