Logo
Slay Queen Billboard 1600 x 800
channel logo dark

Slay Queen

160Tamthilia16

Familia ya Mzee Kasongo yaendelea kuwa kwenye kipindi kigumu kwaajili ya msiba uliyo wakumba. Kampuni ya Far Connect iko kwenye mashaka baada ya migogoro  kwenye familia. Julieth na Evelyn sio marafiki tena na unyama ndani yao unazidi kuendelea wakati Mzee Kasongo anazidiwa nguvu, akiwekwakatikati yao. Derick anajiandaa kuoa,lakini Mamy anazidi kumchanganya akili. Boy Muddy ana mahusiano mapya,ilakazi yake iko kwenye hatari. Penzi la Joyce na Dickson linazidi kukolea.

S7 | E13
05 Decemba 13:30
'S7/E13'. Evelyne kajiriwa na wapinzani wa FORCONNECT, Maisha ya Derick yanakosa dira, Jay na Mary ndio basi tena. ndoa ...

muhula

8

7

6

1

SlayQueen Poll Nov
Nani Slay Queen wa Nywele Fupi?

Kama ungekata nywele zako, ungependa kukata style gani? Piga Kura yako hapo chini

Joyce37%
Aniseta24%
Agnes39%