Logo
Slay Queen SP Billboard
channel logo dark

Slay Queen

160Drama16
Slay Queen Poster

Kuhusu Kipindi

Mzee Kasongo maarafu kama JB ni mmiliki wa kampuni Far Connect. Pesa zinampanda kichwani, anavuruga familia na kutumbukia kwenye dimbi la mapenzi na maSlay queen, kwa kifupi anajisahau kabisa na hapo ndipo drama zinapoanzia. Watoto wake Derick na Juliet maarufu kama TESS CHOCLATE wanapitishwa katika majaribu makubwa na baba yao! Tamthilia hii ni ya tofauti na imejaa wasanii wakongwe kama vile Richie Richie na wengine wengi!

S1 | E13
03 Juni 21:30
'S1/E13'. Familia imepambana wanafanikiwa kuwekeza katika kampuni ya mawasiliano. Tofauti za ndani ya familia na tamaa z...
IMG 20200526 WA0031 (1)
Nani anampenda Derrick Zaidi? Slay Queen

Je, mwenye mapenzi ya dhati na Derrick ni nani? Agnes au Alice? PIGA KURA HAPA!

Agnes92%
Alice8%