Logo
Slay Queen Billboard 1600 x 800
channel logo dark

Slay Queen

160Drama16 V
SLAYQUEEN

Familia ya Mzee Kasongo yaendelea kuwa kwenye kipindi kigumu kwaajili ya msiba uliyo wakumba. Kampuni ya Far Connect iko kwenye mashaka baada ya migogoro  kwenye familia. Julieth na Evelyn sio marafiki tena na unyama ndani yao unazidi kuendelea wakati Mzee Kasongo anazidiwa nguvu, akiwekwakatikati yao. Derick anajiandaa kuoa,lakini Mamy anazidi kumchanganya akili. Boy Muddy ana mahusiano mapya,ilakazi yake iko kwenye hatari. Penzi la Joyce na Dickson linazidi kukolea.

S6 | E13
02 Novemba 11:00
'S6/E13'. Evelyne kajiriwa na wapinzani wa FORCONNECT, Maisha ya Derick yanakosa dira, Jay na Mary ndio basi tena. ndoa ...
SQ Post
Ni nani muhimu zaidi kwa Mzee Kasongo?

Ni nani muhimu zaidi kwa Mzee Kasongo kati ya mke wake au mwanae? piga kura yako hapa

Mke wake79%
Mtoto wake21%