channel logo dark
Shilawadu Small billboard
channel logo dark

Shilawadu Xtra

160VarietyPG13

Siku ya Abdalah na Ishaje – Harusi Yetu

Video05 Septemba

Katika #HarusiYetu Ishaje alivutiwa na muonekano na tabia za Abdalah, hivyo ilikua rahisi sana kwa Abdalah kujipata, baada ya kumkubali tu. Ishaje alipata fununu za kwamba Abdalah ni muathirika, Je walipambana vipi changamoto zao? #HarusiYetu Alhamisi hii saa 1 usiku kupitia 160 Pekee!