#HarusiYetuTZ , Nesia na Emmanuel Wanasimulia changamoto walizozipitia kwenye safari yao ya ndoa, ambapo walikutana kazini! Nesia alihisi huzuni kidogo alipogundua kuwa Emmanuel pia ana familia. Ila hakukata tamaa , Je alimpigania vipi Emmanuel?
usikose #HARUSIYETU kila Alhamisi saa 1 usiku kupitia DStv 160