Wiki hii kwenye #Harusi Yetu maharusi wetu ni Abdallah na Arafa.
Wanatusimulia safari yao ya mapenzi kuwanzia walivyokutana changamoto walizo pitia mbaka sasa hatimaye wanafunga ndoa, ungana na mama shughuli wetu kila Alhamisi saa 1 Usiku kupitia DStv160 pekee!