Logo
Small billboard rebeca
channel logo dark

Rebeca

160DramaPG13

Mseke mseke kwenye – Rebeca

Video
23 Oktoba

Wiki hii kwenye #REBECATZ ni Mseke mseke usioo wa nchi hii, wakati Daniel bado anatapatapa , Rebeca amtoroka Grayson, atafanya nini? Kambona naye amerudi kwa fujo na ukali, Je Zachy ataponea ?Ussy anapokea kipondo cha mwendo afya ya Linda nayo kizungumkuti,