Rebeca
160
Drama
PG13
Main
Video
Habari
Bakoli katupwa inje - Rebeca
Video
03 Oktoba
Wiki hii kwenye Rebeca, Nice ameamua kugeukia watalaam Daniel arudi, Kenzo ana achwa na Linda, Bakoli na ubishi wake wote katupwa nje ya nyumba, Caren na shemeji yake wanapanga nini?
Jisajili kuangalia
Up Next
Joyce hajifahamu- Kapuni
29 Septemba
Huba la Tesa- Huba
27 Septemba
Sakina na Bafoli-Rebeca
26 Septemba
Vurugu kwenye Mazishi-Kapuni
22 Septemba
Daniel kahonga gari la mke-Rebeca
18 Septemba
Ujio wa Devy/Idris- Huba
13 Septemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Peter hataki mwanamke anayependa kwenda Club – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Peter Rusagira kutoka Kigamboni. Ni mpiga picha na ana umri wa miaka 24. Baada ya kukutana na familia zote tatu, inabidi afanye maamuzi ni mrembo gani atampeleka kwenye deti.
Video
Mariam awekwa jela – Pazia
Eliza amuonya Henry kwamba ole wake kama ana mwanamke mwingine. Edu agundua kwamba Regina alipata ujauzito kipindi alivyo bakwa. Dr Love apelekwa jela na Jemo ajaribu kumtoa. Regina agundua kwamba ujauzito wake umetungwa nje ya uzazi. Mariam apelekwa kituo cha police kwa kosa la kutaka kuua.
Video
Maria atambulishwa kwa baba mkwe – Jua Kali
Anita aendelea kumuuguza mama yake wakati Kenzo na Vivian wagombana baada ya Kenzo kumuomba pesa Vivian. Michael arudi nyumbani kwa mama yake. Hatimaye Felix amtambulisha Maria kwa Thomas.
Video
'Bidu ulikuwa wapi?' – Pazia
Henry amwomba Miriam kuwa mke wake na Eliza aingia kati ya mazungumzo. Bidu aenda bar na kukutana na mwanamke matata. Dk. Love aongezewa suspension wakati akimsahidia Regina kujifanya kama ana mimba. Pia inaonekana kama Henry na Gloria wana siri yao. Wakati, Bidu arudi nyumbani kuulizwa alokuwa wapi.