Rebeca
160
Drama
PG13
Main
Video
Habari
Kasheshe na haya- Rebeca
Video
09 Oktoba
Bakoli kaingiwa na wehu, Nice mumewe karudi kumchukua,Daniel kaondoka nyumbani, Rebeca anachangayikiwa , Caren ushemeji umemshinda , kasheshe kama zote haya yote ni katika Je ni nini kitaendela na Daniel?
Jisajili kuangalia
Up Next
Bakoli katupwa inje - Rebeca
03 Oktoba
Joyce hajifahamu- Kapuni
29 Septemba
Huba la Tesa- Huba
27 Septemba
Sakina na Bafoli-Rebeca
26 Septemba
Vurugu kwenye Mazishi-Kapuni
22 Septemba
Daniel kahonga gari la mke-Rebeca
18 Septemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Jarosi au Phil? – Mpali
Jarosi na Phil wagombana shaman juu ya kumleta many kazi mpya. Kasheshe yazinduka kwa Zungu na wake zake.
Video
Roy apigwa – Huba
Sada aamuka akiwa anajihisi vibaya na amdai Fabrizo kurudi nyumbani. Roy arudi nyumbani na uso uliobimba na Doris anataka kujua ni nini kilichotokea. Devi aendelea kuwa na maswali kuhusu Kibibi na Sada ataka kumfukuza Nandy tena.
Video
Ukwell kuhusu Naira na Frank wajulikana – Jua Kali
Dira ajifanya Kama amefariki na hilo jambo lamshitua na kumkasirisha Anna. Waakati Vivian anawaza ni nini kinamtesa Da Amina na mke wake na Prof Bill awaambia Auntie Zai na mume wake kuhusu mahusiano ya Naira na Frank.
Video
Peter hataki mwanamke anayependa kwenda Club – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Peter Rusagira kutoka Kigamboni. Ni mpiga picha na ana umri wa miaka 24. Baada ya kukutana na familia zote tatu, inabidi afanye maamuzi ni mrembo gani atampeleka kwenye deti.