Rebeca
160
Drama
PG13
Main
Video
Bakoli amtimua Caren – Rebeca
Video
25 Decemba
Baada ya harusi Sakina anatoroka, Bakoli amtimua Caren, Kenzo apokea habari kutoka hospitalini.
Jisajili kuangalia
Up Next
Sakina anaolewa – Rebeca
18 Decemba
Kumbukumbu za Albert zinarudi – Rebeca
11 Decemba
Daniel kafanywa bwege – Rebeca
04 Decemba
Ussy apata Kichapo-Rebeca
27 Novemba
Ugomvi na Kasheshe- Rebeca
20 Novemba
Nani atamukoa Rebeca – Rebeca
13 Novemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Sitaki uwe karibu na Femi– Jua Kali
Anna amwambia Diba kwamba hampendi kabisa na Lukas amtimua msaidizi.
Video
Hali ya Edu ya zidi kuwa mbaya – Pazia
Hali ya Edu yazidi kuwa Maya na apoteza kuongea na kuona. Fred amtimua Henry akidai kwamba sio Juma Mdudu na Eliza amfukuza Mdoe. Latifa afukuzwa nyumbani na Glory apanga mpango wa kumuweka Henry.
Video
Dr Temba apata ajali l– Jua Kali
Thomas na Stella watoka kanisani na Stella anataka kujua ni kwanini Maria alikataa kuvishwa pete. Sophia na kaka yake wamlazimisha mama yao kwenda hospitali. Hatimaye harusi ya Anna yafika na Dr Temba apata ajali. Michael na Mary wapata habari njema.
Video
Jua la waka Nairobi! – Jua Kali
Frank aenda kuongea na Thomas kuhusu matatizo yake. Kitundu apokea barua kutoka kwa Kai toka Nairobi. Thomas na Felix wa mtumua mdogo wake na Stella na Maria agombana na dada yake.