Logo
kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

waigizaji wa Kapuni

Habari
28 Novemba 2019
Screenshot 2019-12-02 at 09.45.04

Kapuni, ni tamthilia/hadithi  inayo onyesha maisha ya kila siku ya Mtanzania. Tamthilia  hii inaangazia hali  nyanja  zote za maisha ya kila siku kama vile mapenzi, wivu, pesa, usaliti na visasi. 

Hizi ni baadhi za picha za  waigizaji wa tamthilia ya Kapuni. 

ROBERT-

 

 • Kijana anaye wapenda Watoto na Msomi
 • Mtu anayejali watu na anayo  mapenzi ya kweli

KOKU- 

Msichana mwenye elimu, Mkorofi,mmbea na mwenye kuvuruga

 • Ana tamaa na wivu na kutamani maisha mazuri

JOYCE-

 • Amesoma/ Mwenye elimu
 • Joyce Binti mwenye tamaa, mmbea na mkorofi

BROWN- 

 • Mwanamme mkali lakini mwenye maneno machache/Mkimya
 • Ana mali/ Tajiri
 • Ijapokuwa asema anapenda familia yake Hajali familia
 • Ni Msomi

RACHEL : 

 • Mama mpole na msomi 
 • Ana jali familia
 • Ni Mpole na mwenye mapenzi ya kweli

ALICE