Kapuni
160
Drama
PG13
Main
video
habari
gallery
Rachel apoteza Imani - Kapuni
Video
10 Novemba
Rachel anapoteza Imani ya kupona , Paul , Julie na Jordan mambo hayaeleweki, Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.
Jisajili kuangalia
Up Next
Jude kafunguka ukweli kuhusu Batuli - Huba
08 Novemba
Rachel bado hospitalini – Kapuni
03 Novemba
Mambo yametaradadi – Huba
01 Novemba
Vilio wodini- kapuni
27 Oktoba
Nandy katekwa- Huba
25 Oktoba
Mseke mseke kwenye – Rebeca
23 Oktoba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Hali ya Edu ya zidi kuwa mbaya – Pazia
Hali ya Edu yazidi kuwa Maya na apoteza kuongea na kuona. Fred amtimua Henry akidai kwamba sio Juma Mdudu na Eliza amfukuza Mdoe. Latifa afukuzwa nyumbani na Glory apanga mpango wa kumuweka Henry.
Video
Tamara apoteza pesa zote – Mpali
Tamara amwambia Ngozo kwamba amepoteza pesa zote. Hambe alazimishwa kumpa fine na mahali. Mke wake wa kati wa Ngozo adai Ngozo kumheshimu mjomba wake Patrick.
Video
Mama Sophia ajaribu kujiua– Jua Kali
Suzanne afikia kwa bosi mpya mjini wakati mama Sophia apoteza fahamu baada ya kujaribu kujiua. Thomas amwambia Felix kwamba hataki shida.
Video
Nelly bado anamtaka Devi– Huba
Nelly bado amelewa na Tesa amwambia Nelly aende kwa Devi. Wakati Roy akasirika juu ya Doris kutomsikiliza na Doris arudi kwa mizimu. Tesa afika kwa Devi na Tima kuvuruga mambo wakati Kibibi ampeleka shangazi jela.